Follow Us:

KURUGENZI YA MITAALA

KURUGENZI YA TAKWIMU

KURUGENZI YA TEHAMA NA MAWASILIANO

TANZANIA ISLAMIC STUDIES TEACHING ASSOCIATION (TISTA)

TISTA ni Nini?

TISTA ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kusimamia na kuratibu somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu nchini. TISTA ilizinduliwa rasmi na waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa Profesa Adolf Mkenda tarehe 30/11/2023 katika ukumbi wa Mfalme Mohamed VI Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.

TISTA Kuazishwa

Kabla ya kuanzishwa kwa TISTA shughuli za uratibu wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu zilikuwa zikifanywa na Islamic Education Panel (IEP).

TISTA Imerithi

Hivyo TISTA inarithi kazi na majukumu yote yaliyokuwa yakifanywa na Islamic Education Panel,

5215

Idadi ya Shule

45

Idadi ya waratibu wa mikoa na wilaya

VIONGOZI WA TISTA

UZINDUZI WA TISTA

MWENYEKITI MTENDAJI WA TISTA SHEIKH MOHAMED KASSIM AKIWA NA MLEZI NA KIONGOZI MKUU WA TISTA, MUFT WA TANZANIA

VIONGOZI WA TISTA,WARATIBU WA KANDA NA WA MIKOA

WAJUMBE KATIKA UZINDUZI WA TISTA

SABABU ZA TISTA KUUNDWA

Kutokana na mabadiliko ya mtaala wa Elimu Nchini (2023) uliongezeka uhitaji wa Chombo chenye nguvu na hadhi ya taasisi cha kusimamia Mtaala wa somo la Dini ya Kiislamu badala ya Jopo kama ilivyokuwa IEP.

Jambo hili lilipelekea kuundwa kwa TISTA.

TISTA rasmi ilichukua majukukumu yaliyokuwa yakifanywa na IEP.

Wigo wa Uendeshaji na Usimamizi pia umeongezeka.